Waziri awashukia watendaji Kinondoni na Ilala
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, anayeshughulikia sera, Bunge, Kazi, ajira, vjana na watu wenye ulemevu Mh. Jenista Mhagama ametaka apelekewe ripoti ya matuzimizi ya sh. Milioni 700 ya ujezi wa daraja maeneo ya Ununio Jijini Dar es salaam

