Uchaguzi ulinifanya nisitoe nyimbo - Mwana FA

Baada ya kimya kirefu msanii Mwana F.A anatarajia kuachia baadhi ya kazi alizozifanya, na kuelekea nchini Afrika Kusini kufanya video zake na kuongeza orodha ya wasanii wanaotoka nchini na kwenda kufanya Video Afrika Kusini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS