Chaburuma kuagwa kwa mechi ya Twiga na Malawi. Kikosi cha Timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars kesho (Jumamosi) kinatarajia kushuka dimbani katika mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Malawi uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Read more about Chaburuma kuagwa kwa mechi ya Twiga na Malawi.