Staric ampongeza Rais Magufuli Msanii wa miondoko ya bongofleva Staric Richard Msanii wa bongofleva Staric ambaye ametokea mkoani Mwanza amempa pongezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli kuiongoza nchi. Read more about Staric ampongeza Rais Magufuli