Okt.29 ni sikukuu Zanzibar- Dkt. Mwinyi Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Zanzibar imesema kuwa uamuzi huo unalenga kuwapa nafasi Wananchi wote wenye sifa kwenda kupiga Kura ili kutekeleza wajibu wao wa Kidemokrasia. Read more about Okt.29 ni sikukuu Zanzibar- Dkt. Mwinyi