Kauli nzito ya Arne Slot baada ya kutoka Liverpool
Aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi cha Liverpool Arne Slot alisema mashabiki walimsaidia kukiongoza kikosi cha Liverpool katika kipindi cha misimu miwili huku akidai hana mashaka na kikosi alicho kiacha.

