Wanne mahakamani kwa matumizi mabaya ya mitandao Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, imewafikisha mahakamani watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kusambaza ujumbe wa uongo katika mtandao wa kijamii wa Whatsapp. Read more about Wanne mahakamani kwa matumizi mabaya ya mitandao