Magufuli atakiwa kudhibiti upotevu wa maliasili

Dr. Suma Kaare Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF)

Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) Dr. Suma Kaare amemtaka Rais John Pombe Magufuli kudhibiti upotevu wa maliasili za wanyama pori na misitu uliokithiri katika maeneo mengi nchini ili kunusuru uhai wa maliasili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS