Tanzania yapunguza vifo vya uzazi kwa asilimia 50 Katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii Dkt Donan Mmbando Tanzania imefanikiwa kupunguza zaidi ya asilimia 50 ya vifo vinavyotokana na uzazi kutoka vifo 102 mwaka 2010 hadi kufikia vifo 54 mwaka 2015. Read more about Tanzania yapunguza vifo vya uzazi kwa asilimia 50