Amini: Hizi ndizo sababu za mimi kutokusikika
Star wa muziki Amini ameeleza kuwa ukimya katika muziki wake umesababishwa na utaratibu wake wa kujipanga kwa umakini, na kutengeneza project kadhaa kabla ya kuamua, akishirikiana na timu yake juu ya kile wanachotaka kuachia kwa mashabiki.