Rais achague Baraza thabiti - Magdalena Sakaya

Mbunge mteule wa jimbo la Kaliua Tabora Magdalena Sakaya, amemtaka Rias wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kuchagua baraza la mawaziri thabiti, ili kuweza kusimamia kazi ipasavyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS