Serikali kutoa dawa magonjwa yasiyopewa vipaumbele
Mratibu wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele Dk Upendo Mwingira (kushoto)
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na ofisi za mikoa mbalimbali nchini inatarajia kuendesha zoezi la ugawaji wa dawa kwa ajili ya magonjwa ambayo yalikuwa hayapewi kipaumbele.