Barnaba - sasa naenda Kimataifa Msanii Barnaba amesema kitendo cha yeye kufanya kazi na msanii mkubwa nchini Uganda Jose Chameleone, ni moja ya viashiria kuwa sasa ameanza kupiga hatua kwenda kimataifa. Read more about Barnaba - sasa naenda Kimataifa