Tunatumia mapumziko kurekebisha makosa-JKT Ruvu

Kikosi cha JKT Ruvu kinachoshiriki michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara kimesema, hakitakuwa na mapumziko kwa wachezaji wake ili kuweza kurekebisha mapungufu yaliyokuwa yakitokea katika mechi mbalimbali walizocheza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS