Amini amuaminia Dk. Magufuli
Baada ya kuanza kazi kwa namna ya aina yake kwa Rais wa awamu ya 5 Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli, star wa muziki Amini amesema kuwa anamtakia Rais huyo afya, maisha marefu na pia mafanikio katika maamuzi yenye lengo jema ya kuiendeleza Tanzania.