Tigana akosoa uwekezaji finyu soka la vijana nchin

Tigana lukinja wa pili kutoka kulia mwenye jezi nyeupe kwenye kikosi cha Majimaji ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya ligi kuu katika maisha ya mpira walipocheza na simba sport mwaka 2001.

Imesemekana kuwa kukosekana kwa fedha na uwekezaji finyu kwa klabu za hapa nchini ndiko kunakopelekea uhaba wa vituo vya kulelea vipaji vya vijana wanaochipukia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS