Wagosi wa Kaya limekufa- Dkt. John Msanii kutoka kundi la Wagosi wa Kaya Dkt. John, amethibitisha kufa kwa kundi hilo na kuanzisha kundi jipya la muziki kutoka mkoani Tanga linaloitwa The Family. Read more about Wagosi wa Kaya limekufa- Dkt. John