Serikali yaombwa kusaidia vifaa tenisi walemavu
Timu ya taifa ya mchezo wa tenisi ya walemavu imewataka Saerikali na wadau mbalimbali wa mchezo huo kuweza kuwasaidia vifaa vitakavyowawezesha kuweza kushiriki mashindano mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.