Mazuu - Wasanii hawana ushirikiano. Producer Mazuu kutoka Mazuu Records amesema wasanii wa hapa nyumbani hawana ushirikiano na kupeana kazi ambazo zitawatoa kisanii. Read more about Mazuu - Wasanii hawana ushirikiano.