Uswazi
Uswazi mtaani tena, tumeitembelea Kinondoni mjini na kuwauliza waswazi swali lisemalo ''Kwa nini ukiwa na hela kidogo ya kubadilishia mboga uswahilini unaonekana unaringa''? mengi sana wameyaongea, tuungane pamoja Jumapili saa 12 kamili jioni.