Kampeni kumnufaisha Eddy Kenzo
Wakati Uganda inaelekea kuanza mbio za kampeni za uchaguzi mkuu mapema mwakani, staa wa muziki Eddy Kenzo ametajwa kuwa star wa kwanza mkubwa kuungana na mgombea wa urais wa upinzani Amama Mbabazi kumsapoti katika kampeni zake.