Nice kwa wenye chuki, "Nakunywa mpaka zinanitosha"
Mr Nice
Msanii wa Bongo fleva , Mr Nice amesema kuwa hawezi kubadili mtindo wa maisha yake ikiwepo unywaji pombe hadi kulala bar na ametaka watu waelewe kuwa maisha yake hayaingiliani na muziki wake.