Wanaoishi mabondeni Iringa washauriwa kuhama Afisa Uhusiano wa halmashauri ya wilaya ya Iringa Bw. Humphrey Kisika Wananchi wanaoishi kwenye maeneo ya mabondeni mkoani Iringa wametakiwa kuchukua tahadhari mapema kutokana na mvua kubwa ambazo zinaweza kusababisha madhara makubwa. Read more about Wanaoishi mabondeni Iringa washauriwa kuhama