Rais atatue tatizo la Zanzibar - Zitto Kabwe

Mbunge mteule wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe, amemtaka Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kutumia mamlaka yake aliyonayo kuunda serikali ya mpito Zanzibar, ili kushughulikia tatizo la kisiasa linaloikabili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS