Ney wa Mitego kuachia audio na video wiki ijayo. Msanii Ney wa Mitego amesema baada ya harakati za kampeni sasa yuko location kutengeneza video ya wimbo wake mpya ambao anatarajia kuuachia siku za hivi karibuni. Read more about Ney wa Mitego kuachia audio na video wiki ijayo.