TID, Q Chief kukumbushia enzi hizo

Q Chief, J Wolper, TID

Baada ya kuachia kolabo ya Mkungu wa Ndizi inayomhusisha TID pamoja na Q Chief, TID amesema kazi waliyofanya itakuwa na maisha, na itajitangaza yenyewe kutokana na kurudisha ladha iliyokosekana kwa muda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS