Ban Kin Moon ampongeza Dkt. John Pombe Magufuli
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Bw. Ban Ki Moon ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania.