Wanafunzi warudishwa kufuata michango ya 2016
Wakati serikali ikisema elimu bure kuanzia mwaka ujao mkuu wa shule ya msingi Matiganjola iliyopo halmashauli ya wilaya ya Njombe, amewarudisha wanafunzi nyumbani kufuata michango kwa ajili ya chakula cha mwaka 2016.