Mwili wa aliyefariki shimoni apatikana
Serikali kupitia idara ya madini mkoani Shinyanga, imefanikiwa kuutoa mwili wa Mussa Supana aliyefariki shimoni akiwa na wenzake watano ambao waliokolewa hivi karibuni wakiwa hai katika mashimo ya Nyangarata wilayani Kahama.