Jumuiya ya Ulaya yaipatia Tanzania Milioni 478

Jumuiya ya Ulaya (EU) imetiliana saini na mashirika ya umoja wa mataifa yaliyopo nchini Tanzania yanayofanya kazi kama shirika moja (One UN), ya ruzuku ya Euro 200,000 (sawa na Tsh. 478,000,000) kwa ajili ya shughuli za maendeleo nchini Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS