Watendaji watakiwa kutatua kero za wananchi haraka
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI imewataka watendaji wa manispaa za jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa kero zote za wananchi zinafanyiwa kazi kwa haraka kama alivyoagiza Rais Dkt. John Magufuli.