Nalazimika kugharamia kuwa kimataifa - Joh Makini

Msanii wa Hip Hop ambaye amekuwa gumzo baada ya kuachia video yake ya Don't Bother na kuwa gumzo Joh Makini, amesema analazimika kugharamia kwa kiasi kikubwa video zake anazofanya, ili azidi kujitangaza kwenye soko la muziki kimataifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS