Wachezaji Simba kujiandaa na Ligi Kuu Bara

Wachezaji wa Simba waliokuwa katika kambi ya timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars wameungana na wenzao mjini Zanzibar ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuendelea Desemba 12 ambapo itaanza kazi na Azam FC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS