Fibroids ilinirudisha nyuma - Witness

Msanii Witness amesema kwa sasa yupo tayari kuachia nyimbo yake inayoitwa BUKU JERO pamoja na nyimbo nyingine, baada ya kupona ugonjwa wa uvimbe katika kizazi uliokuwa ukimsumbua kwa takribani miezi minne.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS