21 waitwa Chalenji, watano waendelea na mazoezi
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara,Kilimanjaro Stars, Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi Novemba 21, nchini Ethiopia.