Nitapaza sauti zaidi kutetea wasanii- Profesa Jay Msanii Profesa Jay ambaye pia ni mbunge mteule wa jimbo la Mikumi, amesema pamoja na kuingia bungeni humo kuwatumikia wananchi, hatoacha kuwatetea wasanii kwani pia yeye ni mmoja wapo. Read more about Nitapaza sauti zaidi kutetea wasanii- Profesa Jay