Bobi amkaribisha Papa kwa track
Hatimaye msanii wa muziki Bobi Wine kutoka Uganda ameachia rasmi rekodi ambayo ameifanya maalum kwa ajili ya kumkaribisha kiongozi mkubwa wa kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, mbele ya ziara yake nchini humo tarehe 27 mwezi huu.