Amuua mdogo wake kwa kosa la kubaka nguruwe

Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Wilbroad Mtafungwa

MTOTO wa miaka 16 mkazi wa kijiji cha Mbwila wilayani Ludewa mkoani Njombe Simon Dastani amefariki dinia baada ya kupigwa kwa fimbo na kaka yake baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Nguruwe mali ya mkazi wa kijiji hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS