Bila Lolly Pop nisingetoka - MO Music Msanii MO Music amesema sababu kubwa inayomfanya aendelee kufanya kazi na producer Lolly Pop wa K records ya jijini Mwanza, ni kwamba producer huyo anajua aina ya muziki unaomfaa. Read more about Bila Lolly Pop nisingetoka - MO Music