Wasanii msikate tamaa kufeli kwa wimbo -Joh Makini Msanii Joh Makini amewataka wasanii wenzake kutokata tamaa pale wanapotoa kazi zao na kutofanikiwa kutoka pamoja na kuwekeza muda mwingi na kuamini katika kile wanachofanya. Read more about Wasanii msikate tamaa kufeli kwa wimbo -Joh Makini