Timu wenyeji huchangia kuharibu viwanja - TPLB Bodi ya ligi nchini TPLB imesema inaendelea na maandalizi ya ya ligi hususani kwa upande wa viwanja ambavyo vingi vimeharibika na wameshatoa maelekezo ya jinsi ya kutunza viwanja hapa nchini. Read more about Timu wenyeji huchangia kuharibu viwanja - TPLB