Mashabiki wampongeza Samatta kupata timu Ulaya. Nidhamu na kujituma ndiyo msingi mkubwa kwa vijana wa Tanzania wenye ndoto za kutaka kufika mbali kwenye mpira wa miguu,kama Nyota wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya DR Congo Mbwana Samatta. Read more about Mashabiki wampongeza Samatta kupata timu Ulaya.