Mghwira awataka mawaziri kufanyakazi kwa viwango
Chama cha Act-Wazalendo kimewataka Mawaziri kumshauri Rais katika kazi zake na sio kuelekezwa kufanya shughuli zao ikiwemo wengine kufanya kazi kwa kasi ya Rais bila ya kuwa na viwango na ufanisi katika kile wanachokifanya.