Mashirika, serikali zatakiwa kuhamasisha michezo Mashirika na Taasisi binafsi pamoja na serikali zimeaswa kurejesha na kuhamasisha michezo katika maeneo mbalimbali ili kuibua vipaji na kuwapa ajira vijana kama ilivyokuwa katika miaka ya nyuma. Read more about Mashirika, serikali zatakiwa kuhamasisha michezo