Maji,Migogoro ya ardhi bado tatizo Longido
Uhaba wa maji na migogoro ya ardhi bado ni matatizo sugu yanayakabili wakazi wilaya Longido mkoa wa Arusha,ambapo wakazi wake wameiomba serikali ya awamo ya tano kuyatafutia ufumbuzi wa haraka, ili kuwanusuru na majanga yanayoweza kuwakuta.