Waathirika wa UKIMWI Njombe walalamikia unyanyapaa
Wakati Tanzania ikibadili matumizi ya fedha zilizotarajiwa kutumika katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI, baadhi ya waathirika wa ugonjwa huo mkoani njombe wamewatupia lawama baadhi ya wahudumu kwa kauli za kuwanyanyapaa.