Kibadeni ajipa imani kwa 4-1 dhidi ya Prisons
Kocha Mkuu wa JKT Ruvu Abdallah Kibadeni amesema kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake katika mchezo dhidi ya Prisons uliopigwa juzi Uwanja wa Karume jijini Dr es salaam anaamini atashinda michezo yote iliyobakia.