Jenista awatembelea waathirika wa majanga ya mvua
Waziri wa nchi Sera, Uratibu, Bunge, ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama amewatembela na kuwafariji waathirika wa majanga ya mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zimeharibu nyumba za wananchi na kuwaacha bila makazi ya kuishi mkoani Ruvuma.

