BABA 'T' asheherekea siku ya kuzaliwa
Mtangazaji na Dj mkongwe wa kituo maarufu cha East Africa Radio Emsley Smith almaarufu kama Baba T anayeendsha kipindi maarufu cha Lovers Rock siku ya jumapili kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi jioni leo hii ametimiza miaka 79 ya kuzaliwa kwake.

