Mawaziri waapa kazi tu,Maghembe kulia na majangili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasilina Utalii Desemba 28,2015 Ikulu
Mawaziri walioapishwa Jana katika kukamilisha baraza la mawaziri lilitangangazwa na Rais wa Tanzania John Pombe magufuli wameahidi kufanya kazi nguvu ili kuwaletea maendeleo Watanzania.